MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday, 3 June 2013

SAMAKI WA AJABU AVULIWA BAHARI YA HINDI TANZANIA.MWANGALIE HAPA


NI AJABU NA INASTAJABISHA:
Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samaki
huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana sam

aki huyu aelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.

No comments:

Post a Comment