Daladala moja inayofanya safari zake za Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam, imetumbukia
mtaroni asubuhi ya leo maeneo ya Magomeni Mikumi baada ya kutaka kulipita gari
ndogo aina ya Noah na kusababisha kupoteza muelekeo na kuingia mtaroni
lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyepoteza maisha
wote wamejeruhiwa hapo chini ni daladala hiyo
pia askari akichukua maelezo kwa majeruhi:Picha kwa Hisani ya Mwanaharakati Blog
wakazi wakiangalia ajali hiyo.
Askari wakilinda usalama
Kunguru wakibeba gari hilo.








No comments:
Post a Comment