MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday 29 July 2017

NEYMAR ATWANGANA MAKONDE NA MCHEZAJI MWEZAKE MAZOEZINI NA KUTIMKA

http://images.performgroup.com/di/library/GOAL/5e/4d/neymar-barcelona-training_qydxjfcu5oim1ddhjn9ysqw2b.jpg?t=-1982899411&w=620&h=430Super star kutoka Brazil NEYMAR atwangana makonde mazoezini na mchezaji mwenzake NELSON SEMEDO na baada ya hapo aliondoka mazoezini. kitendo cha Neymar kupigana na mchezaji mwenzake kimewakela sana mashabiki wa barca na kutoona umihimu wake kikosini




Sasa jukumu la kuamia PSG laweza kuwa jepesi sanaaa kwani Neymar anazidi kuonyesha hayupo sawa klabuni hapo

PATA KUSOMA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO TAREHE 29 JULY 2017

Friday 28 July 2017

IVAN PERISIC SITAMANI KUONA ANAUZWA MACHESTER UNITED

http://images.thepeoplesperson.com/wp-content/uploads/2017/05/28113746/ivan-perisic-2-min.jpg

Boss wa interLuciano Spalletti  amesema anapinga kwa nguvu kuuzwa kwa Ivan Peresic katika club ya manchester United na hazani kama manchester united wanaweza wakaja na ofa mpya ya tatu ama wakakubali kumnunua ivan perisic kwa kubadilishana na antony matial. Hivyo wanandaa mkataba mzuri kuakikisha wanambakisha Perisic na kumfanya awe star msimu ujao

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAHAZETI YA LEO TAREHE 28 JULY 2017