wakazi wa magomeni wakiushuhudia mwili wa mtoto mchanga anayezaniwa kuwa na umri wa siku moja akiwa kwenye mfuko katupwa na mtu asiyejulikana

wakazi wa eneo jilani na wapita njia wakiwa eneo la tukio kuutaza mwili wa mtoto huyo

mwili wa mtoto huto ukiwa ndani ya gali la polisi

askali wa kituo cha magomeni wakiwa eneo la tukio
No comments:
Post a Comment