MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Thursday 13 June 2013

BREAKING NEWS: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA, LANGA AFARIKI DUNIA.

 
Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania) amefariki dunia leo hii.Katika hospitali ya Mhimbili kwa kile kina chosadikika ni malaria.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.

No comments:

Post a Comment