Ni
baada ya kimya kilefu hatimaye star wa music wa bongo DULAYO kuachia
nyimbo yake mpya ambayo ameifanya chini ya producer zest mkali na kuanza
kufanya vizuri katika media mbalimbali za Tanzania na kungineko.
akizungumza na mtandao wetu msanii DULAYO amesema amejipanga vizuri
kuakikisha anawapa radha tofauti mashabiki wake hasa akimzungumzia sana
producer wake zest mkali kwa kufanya kazi nzuri sana na ikiwa na muda
mfupi tu watu wameipokea vizuri
Pia
msanii huyo ahaidi kufanya vizuri zaidi hasa akidai kuwa nyimbo
nyingine nzuri soon zitaachiwa katika media tofautitofauti ili
kuakikisha yupo safi kabisa katika swala la music Ukitaka kuipata nyimbo hii bonyeza linki ifuatayo ili uweze kuipata nyimbo hii
Hulk Share - Music Distribution Platform
www.hulkshare.com
Huyu
ndiye producer ZEST MKALI ambaye amesababisha ngoma mpya ya dulayo. na
akizungumza nasi haya ndiyo aliyoyasema, ni kweli nimefanya nyimbo na
dulayo na kiukweli ni nyimbo nzuri sana na naamini watu wataipokea
vizuri na kusaport mziki wetu na kingine ni kwamba nimejipanga vizuri na
nawaomba watu wote wanaomfahamu zest mkali ni nani kwenye mziki huu
wajiandaee kupata mikono iliyokamilika na maradha ya kutosha kutoka
kwangu. hayo ni maneno ya Producer zest mkali
No comments:
Post a Comment