MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 24 May 2013

LADY JAY DEE AMSHANGAA MWANA FA. KUTOKANA NA KUANDAA SHOW TAREHE 1 NA KUAMUA KUMCHUKUA LINNAH

Kutokana na JIDE kuwa na show yake kubwa mnamo tarehe 31 mwezi huu pale nyumbani lounge ,Sasa rafikiye wa karibu sana MwanaFA inaonyesha naye ameanda show yake siku hiyohiyo  ya Tarehe 31,Zaidi ya yote mwana FA akawachukua  wasanii walio jitoa katika show ya JIDE kama Linnah  sa kutokana na sitofahamu hiyo mtandao huu wa thechoicetz uliweza kumtafuta JIDE kupitia twitter na kumuu liza juu ya hili swala naye aliweza kutoa yake anayo yafikiria,pia mtandao huu wa thechoicetz ulimtafuta  MwanaFA lakini mwanaFA hakuweza kutujibu swali tulilo muuliza hadi muda huu

No comments:

Post a Comment