picha hii baadhi ya wakazi wa mtwara wakihama makazi yao wakieleke katika hospitali ya ligulu ili kupata hifadhi leo
picha ya chini baadhi ya wakazi wa vijiji mbalimbali mkoani mtwara wakiwa katika hospitali ya rufaa ya ligulu wakihifadhiwa na kupewa msaada leo
Hali bado ni tete katika mkoa wa Mtwara hususani katika mji wa mikindani na ujumla yote mtwara watu wapatao 100 wanadaiwa wamekamatwa ofisi za serikali zipaatazo tano zimechomwa moto mji wa mikindani Askari jeshi wapatao 4 wamefariki baada ya gari lao kupata ajali wakati wanaelekea kuongeza nguvu mtwara mama mja mzito amepigwa risasi na kufa pia mwanafunzi wa shule amevunjwa miguu kwa risasi hali bado ni tete wakazi wanahama makazi yao na kuelekea katika hospitali ya ligulu kuhifadhiwa kama wakimbizi majeruhi wapata 18 wako katika hospita
Jeshi la ulinzi limeongeza nguvu hivi sasa doria kubwa imewekwa ulinzi umeimarishwa katika Uwanja wa Ndege wa mtwara Visima vya Gesi ,Bandari ya mtwara sehemu nyeti zote zinalindwa na ulinzi mkali
habari zinasema na waandishi wtu wana sema hakuna usafi wa aina yeyote hakuna Baiskeli mtaa ,Bodaboda hakuna hata mmoja mtaani magari milio ya risasi bado
No comments:
Post a Comment