
Pichani
ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamegongana uso
kwa uso maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu. Haijafahamika ni abiria
wangapi wamedhurika katika ajali hiyo.
endelea kuwa pamoja nasi kukujuza habari kamili
endelea kuwa pamoja nasi kukujuza habari kamili
No comments:
Post a Comment