MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday 5 October 2013

INASIKITISHA BINTI ABAKWA HADI KUFA NA WATU WANNE SOMA ZAIDI

Ilikuwa siku ya kawaida kama siku zingine msichana wa miaka 18 aliyejulikana kwa jina Chekwube Mbaka alitumwa sokoni kununua mahitaji ya chakula cha jioni katika mtaa mmoja huko Naigeria....lakini njiani alikutana na vijana wanane ambao walimbaka wote mpaka kupoteza maisha yake ....Polisi wamewashikilia vijana wawili kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio hilo ....inasemekana vijana hao ni watengeneza majeneza wa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment