MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday 5 October 2013

BASI LA MACHINGA TRANS LAGONGANA USO KWA USO NA LORI, DEREVA WA BASI APOTEZA MAISHA PAPOHAPO....

Muonekano mzima wa Basi Machinga lililopata ajali mbaya...
 
BASIla Machinga limepata ajali mbaya iliosababisha dereva wa Basi anaefahamika kwa jina ( NOOR ) kupoteza maisha papohapo, Ajali hiyo imetokea maeneo ya Kilima hewa Mbele ya Kimanzichana,Wakati Basi hilio lilipokuwa Safarini kutoka Dar Es Salaam Kuelekea Mtwara ndipo lilipogongana uso kwa uso na lori la mizigo idadi ya majeruhi mtazipata hapa mda si mrefu, Endeleeni kutembelea website hii y

No comments:

Post a Comment