MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday 30 September 2013

BREAKING NEWS. MSANII MACK 2 B WA KUNDI LA WATEULE APOTEZA MAISHA

 
Fahamu Msanii Na Producer Wa Music Wa Bongo Fleva Na Reggae Mack Malik Simba Amefariki Dunia Dakika 30 Zilizo Pita. Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Ameniambnia Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu Sana. Amefia Nyumbani Kwao Yombo. 
Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters. Tunazidi Kufuatilia Habari Zaidi.

No comments:

Post a Comment