MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday, 3 July 2013

HATIMAYE MABESTE AKARIBIA KUPATA MTOTO



Msanii MABESTE anayetesa na video yake ya DOLE kwa TV stesheni mbalimbali hapa nchini na nje ya bongo siku za karibuni anatarajia kuitwa baba. Mabeste ambaye kwenye picha anaonekana na mama kijacho huyo ambaye wengi wetu tulimwona kwenye video yake inayoitwa SIRUDI TENA ambapo mama kijacho huyo anayejulikana kwa jina la LISA KARL FICKENSCHER. Check hii account Facebook ya Mabeste Vena
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlGUQCiYSa93HbjCdvXbzJbQL9PaXw59lAdBR9fuikzFmIyZXd8NFVaSW5S-x-qruOxBoOuMV44cGe05i-OxD743Qp6i3ZTXcMUtyfBUPy9TiTSUFXepo4_79BRcdwHy1y14HZp7d48lWx/s640/1017360_487391501341754_976079928_n.jpg

Huyu ndio shemeji yetu kwa Mabete anaitwa Lisa aka Mama Kijacho 
 

No comments:

Post a Comment