MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 4 June 2013

WATU WAJITOKEZA KWA WINGI POLISI WAPATA WAKATI MGUMU KUONGOZA MSAFALA KUUPELEKA MWILI WA MAREHEMU NGWEA MUHIMBILI

 Polisi ilibidi wafanye kazi ya ziada, masela walikwidwa sana..
 Mwili ukatolewa
 Hapa ndio rasmi watu wakaanza kuamini kwamba kamanda amepumzishwa
 Ilikuwa lazima ikuguse, ni ngumu kuizuia

 Safari ikaanza
 Gari lililobeba mwili likiwa mikononi mwa raia
 Ilikuwa ngumu kuzuia hisia...
 Mchizi Mox akiwa amekamatia msalaba wa mchizi wake
 Mbio njia nzima.

No comments:

Post a Comment