MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 4 June 2013

HIVI NDIVYO MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, JAJI FREDERICK WEREMA NA NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ANGELA KAIRUKA WAKIPERUZI KITABU CHA KATIBA MPYA.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki, wakiperuzi kitabu cha Katiba mpya, baada ya kuzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana kwenye Viwanja wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment