MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday 25 June 2013

UJUMBE HUU MUHIMU KUTOKA KWA SALAMA JABIR

SOMA UJUMBE HUU MUHIMU
HAbari zenu watanzania wenzangu MKATABA NILIOINGIA

NI jukumu langu la dhati kuwahamasisha ndugu WATANZANIA wenzangu katika jambo lenye faida ili kuleta mafanikio katika nchi na kumuokoa MTANZANIA wa hali ya chini ( masikini)

Kwanza napenda kuwapongeza utumishi wa umma kwa taasisi walioanzisha utoaji mikopo nafuu na isiyokuwa na riba kwa kila MTANZANIA hii itamsaidia kila MTANZANIA kuweza kumudu maisha na kukidhi mahitaji muhimu kwa kuleta maendeleo binafsi

Kama inavyofahamika tatizo la ajira kwa Vijana limekua ni Stomes war katika upande pili na linatokana na Ubadhilifu wa uchumi katika nchi yetu

Ila hii ni fursa tumepewa na taasisi ya AKIBASACCOS kijana kuweza kujiajiri yeye binafsi kipitia ujasiriamali nyezo za kuwekeza misingi peace za biashara /miradi\

USHAURI; Wito wangu kwa vijana wenzangu wote ambao wana Film Logic ya kujiajiri kuanzisha biashara na kama hamna mitaji nawaomba mjiunge na AKIBASACCOS.
Sasa hivi muweze kupata mikopo nafuu na isiyokuwa na riba. Wito kwa wote na sio lazima kujiunga ila ni ushauri wangu wadhat kwani napenda mafanikio ya kila MTANZANIA mwenagu jiunge na AKIBASACCOS leo upate mkopo nafuu na usiokuwa na riba mikopo inatolewa kwa kila MTANZANIA bila ubaguzi wowote

Jinsi ya kujiunga uweze kupata mkopo bofya hii LiNK:Yao hapa http://www.akibasaccos.wapka.mobi/index.html mafanikio mema Jana kulikuwa na tatito ndo maana mkas ukuona

No comments:

Post a Comment