MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday 25 June 2013

KIJUE KINACHOMFANYA P.DIDDY KUWA MWANA HIP-HOP MWENYE MSHIKO MREFU DUNIANI

Kwa mujibu wa Kampuni ya Marekani inayochunguza mapato ya wasanii
 dunia kote,hivi karibuni walitoa mustakabari kwa upande wa Hip-Hop na kumzungumzia Mwana Hip-Hop  Nguli Sean Carter P.Diddy... Katika List anaonekana Mwanamuziki mwenzie Jay-Z ndo anaongoza
kwa kuwa mwana Hip-Hop mwenye kisu kirefu zaidi akifwatiwa na 50 Cent na watatu ni
P.Diddy mwenyewe mwaka wa 2009.... Diddy mwenye Vitega uchumi vingi kama mavazi yake kama
Sean John na Record Label Bad Boys na perfume zake na moja kati manukato yaliouzwa Bei Ghali zaidi mwanzoni mwa mwaka huu Ilioenda kwa jina la UNFORGIVABLE...
Katika yote hayo hiki ndicho kinasemekana kinamwingizia mpunga
 mrefu na kumuongezea hela kukaribia kuwa mwana hip hop mwenye kisu kirefu duniani..... CIROC ni kinywaji kikali kilichobuniwa na Mwanamuziki huyo na
 ndio kinywaji kinachotumika kwa wasanii wengi nchini marekani na kwingineko na hata kuonekana
 kwenye video tofauti za wasanii
mbali mbali nchi za nje....
Kwa mujibu wa Forbes unasema kinywaji hicho kimeweza
kumuingiza hadi sasa P.diddy dolla za kimarekani 48 millioni kwa mwaka...... Na hii imeongeza zaidi kwenye utajiri wake na kuwa mwana
hip hop tajiri kuliko wote
dunia kwa kuwa na utajiri wa $580millioni za kimarekani akifwatiwa  na Jay -z na watatu ni Dr Dre
akiambatana na C.E.O wa CASHMONEY Birdman na 50 CENT  akiwa kwenye nafasi ya 5 mwaka wa 2012-2013...
Ni hayo tu kwa leo nimekujuza upate kujua ukweli wa mambo na  kujua jinsi muziki unavyolipa na
brand wanazobuni wanamuziki nje zinazowaletea faida tele.....!!
Hiki ndico kinywaji kinachomuingiza mkwanja mrefu P.Diddy
Aina tofauti za kinywaji hicho.....

No comments:

Post a Comment