MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday 12 June 2013

TIMU YA IVORY COAST KUTUA KESHO TANZANIA KUIKABILI TAIFA STARS

YAYA TOURE NA WENZAKE KUINGIA TANZANIA NA MSAFARA WA WATU 80 KESHO.

Msafara wa timu ya Taifa ya Ivory Coast (The Elephants) wa watu 80 wakiwemo wachezaji 27 unatarajiwa kuwasili nchini kesho (Juni 13 mwaka huu) kwa ndege maalum kwa ajili ya mechi dhidi ya Taifa Stars.
Mechi hiyo itachezwa Jumapili (Juni 16 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 9 kamili alasiri, na itachezeshwa na Charef Mehdi Abdi kutoka Algeria.
Kikosi hicho kitawasili Uwanja wa Ndege wa

No comments:

Post a Comment