TAZAMA JINSI MWANA FA ALIVYOAMBULIA PATUPU KWENYE SHOW YAKE
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.Mwana FA On Stage @ Makumbusho Ya Taifa "The Finest" Kama Zamani.Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.Asma
Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho
Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama
Zamani Ijumaa 14/6/2013.Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.
No comments:
Post a Comment