MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday 15 June 2013

AJALI YATOKEA MBEZI KWA YUSUPH, KATI YA GARI NA PIKI PIKI

Hii ajali imetokea sasa hivi hapa Mbezi kwa Yusuph huyu dereva mwenye gari alikuwa anakunja kuingia upande wa pili ndipo alipokutana na pikipiki iliyokuwa speed. Dereva wa pikipiki amepata majereha mwilini mwake

clip_image002

No comments:

Post a Comment