Uongozi
wa klabu ya Simba kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Zacharia
Hans Pope umetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango mkongwe wa timu
hiyo Juma Kaseja.
Akizungumza na kipindi cha Sports
Leo cha Radio One, Hans Pope amesema hawatomuongezea mkataba Kaseja na
wamempa baraka za kutafuta timu nyingine.
Kwa
muda mrefu Simba ilikuwa ikisuasua kumpa mkataba Kaseja aliyeidakia
Simba kwa takribani miaka 10, na hatimaye leo wamethibitisha rasmi
kumuacha Kaseja.
Kwa hanari zaidi kuhusu suala hili endelea kufuatilia mtandao huu.
No comments:
Post a Comment