MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday 11 June 2013

KUNDI LA MATAPELI WAVAMIA ACCOUNT ZA DIAMOND NA KUANDIKA HAYA ...

Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.
  
Amepigiwa  simu  Diamond ambaye hakuwa na taarifa zozote kumuuliza kama ni yeye ndiye aliyeandika na amekanusha kuandika ujumbe huo.
Ujumbe huo kwenye akaunti ya Facebook ya Diamond unasomeka:

No comments:

Post a Comment