![]() |
Khadija Kopa (kulia) mume wake na watoto wao mwaka jana kwenye tuzo. |
Nitabandika updates nikipata. Pole sana Dada Khadija Kopa.
Naona salamu za pole zinamiminika kwenye Facebook page yake: https://www.facebook.com/MalkiaKhadijaKopa?fref=ts
MUME WA KHADIJA OMARY KOPA"MALKIA WA MIPASHO TANZANIA"AMEFARIKI USIKU
HUU MIDA YA SAA TISA USIKU POLEE SANA KHADIJA KOPA NDUGU JAMAA NA
MARAFIKI
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
"AMEN"
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.Naona salamu za pole zinamiminika kwenye Facebook page yake: https://www.facebook.com/MalkiaKhadijaKopa?fref=ts
Khadija Kopa akiwa na mumewe kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani (picha ilipigwa 2012) |
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
"AMEN"
No comments:
Post a Comment