HALI YA ULINZI YAHIMARISHWA NYUMBANI KWA MAMA YAKE NGWEA MJINI MOROGORO
WAKAZI
WA MANISPAA YA MOROGORO NA VITONGJI VYAKE WAKITAKA KUSUKUMA GARI
LILILOBEBA JENEZA LENYE MWILI WA ALBERT MANGWEA MARA BAADA YA KUTOLEWA
NDANI KWA MAMA YAKE MANGWEA KIHONDA MOROGORO LAKINI NAFASI HIYO
HAWAKUWEZA KUIPATA NA
KULAZIMIKA DEREVA WA GARI HILO KUONGEZA MWENDO HUKU LIKIONGOZWA NA
KING'ORA CHA JESHI LA POLISI KUELEKEA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MAJIRA
YA SAA 1:45 USIKU HUU.PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COMMKUU
WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI WILAYA YA MOROGORO ABDALLAH HUSSEIN
KULIA AKIWAPA MAELEKEZO ASKARI ILI WAWASOGEZE WANANCHI ILI IPATIKANE
NAFASI YA KUTOA JENEZA LENYE MWILI WA MANGWEA UKAHIFADHIWE CHUMBA CHA
KUHIFADHI MAITI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO.ASKARI
KANZU AKIWA KWENYE LINDO MARA BAADA YA JESHI LA POLISI KUONGEZA ASKARI
KWA AJILI YA ULINZI NYUMBANI KWA MAMA YAKE MANGWEA KIHONDA MARA BAADA YA
KUWASILI KWA MWILI WA MANGWEA MAJIRA YA SAA 12 JIONI ASKARI
AKIWA AMEOKOTA KANDAMBILI NA KUZINADI KWA MWENYEWE BAADA YA KUWASOGEZA
WATU AMBAO WALIZIBA SEHEMU YA MLANGO WAKATI WAKITAKA KUONA JENEZA LENYE
MWILI WA MANGWEA WAKATI LIKTOLEWA NDANI NA KWENDA KATIKA CHUMBA CHA
MAITI CHA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO.HAWA
NI WALINZI KUTOKA DAR AMBAO WAPO KATIKA KAMATI YA MAZISHI YA MAREHEMU
MANGWEA WAKIWA WAMEKAA MLANGONI WAKATI JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU
ALBERT MANGWEA NYUMBANI KWA MAMA YAKE KIHONDA MOROGORO BAADA YA KUWASILI
KUTOKA DAR ES SALAAM MAJIRA YA SAA 12 JIONIASKARI WAKIWATWANGA MASWALI KWANINI MMEPANDA JUU ?, JIBU ILIKUWA JEPESI TU, TUNATAKA KUONA JENEZA LA MANGWEA MSHKAJI WETU.P-FUNK a.k.a MAJANI KULIA NA AFANDE SELE (SELEMAN MSINDI) MUDA MFUPI BAADA YA MWILI KUWASILI KIHONDA MOROGORO.HUYO NDO KITALE ? ANAWAPA HI WASHKAJI MARA BAADA YA KUWASILI KWA MWILI WA MANGWEA NYUMBANI KWAO KIHONDA MOROGORO SAA 12 JIONI.
No comments:
Post a Comment