Mwili wa marehemu huyo aliyetambulika kwa jina la baba Daudi ukiwa katika gari la polisi
Huu ndio mwili wa marehemu huyo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi leo
Hapa penye damu ndipo alipopigwa risasi
Askari polisi wakiushusha mwili huo tayari kuuhifadhi chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa ya mkoa
No comments:
Post a Comment