MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday 18 June 2013

Chamillionaire Amesema Kuendelea Na Mziki Kutatokana Na Mafanikio Ya Hii Project.

Mchanaji Huyu kutoka Houston, Texas amejiendesha kama solo artist toka atengane na lebel yake ya Universal Republic Records iliyompatia platinum relationship with Universal Republic Records.
Unamkumbuka Jamaa alie chonga joint ya Ridding Dirty, Well fans his back na kitu kipya na kwa mujibu wa manager wake ni project kali sana. Rapper Chamillionaire  amevujisha ujio wa album yake ya tatu itakayo itwa`ReignFall'. Fahamu kuwa Chamillionaire ameka kimya toka mwaka 2012

No comments:

Post a Comment