MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday 19 June 2013

BONGO STAR SEARCH YAZINDULIWA LEO MJINI DAR ES SALAAM



Shindano la kusaka vipaji vya kuimba la epiq bongo star search EBSS limezinduliwa leo rasmi jijini dar es salaam uzinduzi huo uliofanyika makao makuu ya zantel umezinduliwa na mkurugenzi wa BENCMARK PRODUCTION. RITA PAULSEN AU MADAMU RITA, Ambaye ni mwanzilishi na moja wa majaji katika shindano hilo 
EBBS imekuja na kauli mbiu ya KAMUA ITAANZA kufanya usaili katika mikoa sita ya MBEYA, ARUSHA, ZANZIBAR, MWANZA, DODOMA NA DAR DAR ES SALAAM
Usajili huo utaanza tarehe 29 hadi 30 ya mwezi huu ambapo wataanzia mjini dodoma katika ukumbi wa maisha club, ikifuatiwa na nzanzibar tarehe 5 na 6 mwezi wa saba katika ukumbi wa bwawani.
kwa upande wa MBEYA usajili utakuwa tarehe 10 hadi 11 katika ukumbi wa VYBES CKUB wakati MWANZA itakuwa tarehe 14 na 15 mwezi wa saba katika ukumbi wa FUSSION na ARUSHA itakuwa tarehe 20 hadi 21 mwezi wa saba TRIPPLE A, Ikimalizika na DAR ES SALAAM tarehe 26 na 28 pale UWANJA WA TAIFA nafasi ni yako sasa msanii na kauli mbiu ni KAMUA
chanzo bongo5

No comments:

Post a Comment