MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday, 22 May 2013

WATU WANNE WANASHIKIRIWA NA POLISI BAADA YA KUKAMATW WAKITENGENEZA POMBE HARAMU HUKO KONGWA


 Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiwaonyesha wandishi wa Habari Mabomba ya plastik Inayotumika kama Mitambo ya kutengenezea Pombe Haramu Aina ya Gongo Mara Baada ya kuikamata wilayani Kongwa jana.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime Akifungua Moja ya Madumu yaliyokamatwa na  Pombe Haramu ya Gongo yaliyokamatwa Wilayani Kongwa huku watu wanne wakishikiliwa na jeshi hil;o.
Haya ndio mabomba ya kutengenezea pombe haramu 
 
Chanzo:Pamojapure Blog

No comments:

Post a Comment