Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wakijipanga kumsubiria
Mgeni rasmi Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete
akiwasili kwenye uzinduzi wa Ujenzi wa barabara ya Dodoma Iringa kiwango cha lami kupitia
mtera katika kijiji cha migoli jana.
Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli akiteta jambo na mgeni rasmi Mh Jakaya Kikwete
Mgeni rasmi Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete akijianda kukata utepe katika ufunguzi wa Ujenzi wa barabara ya Dodoma Iringa kiwango cha rami katika kijiji cha migoli
Mgeni rasmi Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh.Jakaya Kikwete akikata utepe katika ufunguzi wa Ujenzi wa
barabara ya Dodoma Iringa kiwango cha rami katika kijiji cha migoli pembeni ni mbunge wa jimbo la Isimani Mh.William Lukuvi

Mkuu wa mkoa wa Iringa akihutubia wananchi jana kwenye Uzinduzi wa Ujenzi wa barabara ya Iringa kwenda Dodoma.
Mgeni rasmi Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete akiwa anaondoka baada ya kuzindua Ujenzi wa barabara ya Iringa Dodoma kiwango cha lami katika kijiji cha migoli jana
Gari ya Polisi ikiwa kwenye escort ya msafara wa Raisi
Picha na:Thobias Myovela
No comments:
Post a Comment