Katika tukio hili gumu, kitu kingine kibaya zaidi ni kwamba imefahamika kuwa, Promota Kim Ueno ambaye ndiye aliyeandaa onyesho la Iryn huko Japan kwa sasa anajiandaa kufungua kesi ya madai ya fidia kutokana na hasara aliyopata kwa msanii huyo kutokufika kwenye shoo.
Kutokana na sheria za Japan, mtu yoyote atakayepatikana na hati ya kosa kama hili, ana uwezekano mkubwa wa kufungwa maisha na hata kuhukumiwa kifo, kitu ambacho kinaongeza hofu ya hatma ya staa huyu wa Uganda.

No comments:
Post a Comment