
MWANAMUZIKI
Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kufunguliwa kesi ya madai
katika mahakama hiyo. ...
Katika
hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na..
Tuhuma
za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.
Jaydee
aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6
mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao
No comments:
Post a Comment