MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday, 6 May 2013

HIZI HAPA PICHA: BIRTHDAY PARTY YA 'CHRIS BREEZY'

Hizi ndizo baadhi ya picha kutoka 1 OAK Nightclub, Mirage ambapo ndipo lilipofanyika bash la birthday ya  24 ya staa wako Chris Brown, Keki hii ni design ya Black Pyramid ambayo pia ni lebo ya mavazi ya mshkaji huyu ambayo wameianzisha in partnership with his ex girlfriend Karrueche Tran


Bignames waliohudhuria birthday hii ni pamoja na Lil Wayne, Jeremih, Fabulous na wengineo.

Birthday Cake

Fabulous

No comments:

Post a Comment