Huyu ndiye dj nag ambaye anafanya vizuri sana katika moja ya media za mbeya hapa tukiizungumzia SWEET FM hasa katika kipindi cha THE BESE NA HOT BENGAS kwa kupiga mangoma tofautitofauti kuanzia saa saba hadi saa kumi jioni kadika moja na mbili akiwakilisha na vile vile kuanzia saa 2 usiku adi saa 4 usiku jiunge nae upate burudani bomba sana
DJ NAG akiwa katika moja ya vipindi vyake akiendesha kipindi kutoka sweet fm pande za jiji la mbeya
DJ NAG akiwa na moja ya watangazaji wa sweet fm wakiwa katika kipindi
Kwenye moja na mbili akiwa DJ NAG mwenyew
No comments:
Post a Comment