
Ni baada tu ya Kushiriki kwenye Wimbo ulioshirikisha wasanii wengi wa
Kike kuhusu Ugonjwa wa FISTULA, Baby J amezungunza experience
aliyoipata kwa Kufanya Wimbo pamoja na Wasanii wengine Wa Kike na
Kuperform. Pia amewataja wasanii Recho na Vanessa Mdee ndio wasanii
atakaofanya nao Colabo kwenye Project zake zijazo ili kutupa vitu vizuri na vya kitofauti zaidi

Baby J katika pozi
katika kuakikisha anawapa radha mashabiki wake wanaopenda mziki wake na kuahidi kushirikiana na wasanii wengine zaidi ya hao aliowataja
No comments:
Post a Comment