Isha
mashauzi akiongea kwa machungu na kusema hajawahi kuingia polisi ndio
mara ya kwanza kupelekwa msimbazi polisi na kukaa kwa saa kadhaa mpk
kutoka kwa dhamana,alimalizxa kuimba SI WOTE WANAOKWENDA JELA WANA
HATIA NA WENGINE WANAKWENDA KWA KESI ZA KUSINGIZIWA alimaliza isha.
Dida na
Isha ndani ya mahojianooo mazito pole kwa yote ndio mitihani iyo na ni
changamoto,ukweli anao mwenyewe isha mwisho wa siku.
WANAJUANA HAO.
ReplyDelete