MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 12 April 2013

ICHEKI THE MAKING VIDEO OF RASH MO SONG HAWANA WEMA KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI IRINGA

Friday, April 12, 2013


The Next Step Production Executive Director Samson Kikoti na Director Florian George a.k.a Fast Gee wakijadiliana jambo Location Niki Motel Maeneo ya Mashine Tatu Iringa mjini wakishoot video ya mwanamuziki Rash Mo wimbo wake Hawana wema Picha na Lewis Mbonde

Mmiliki wa Blogu hii bwana Lewis Mbonde akiwa na wanyama waliokuja kumsupport Rash Mo kushoot katika video yake sio jamaa wameshine mbaya kama wametoka kiwanja soon.Picha na Lewis Mbonde

Wanyama washiriki wa hii video wametisha sana  kama kimbelembele wa kwanza kulia mwenye Tsheti ya kijani ni model wa kiume wa hiki kideo namzungumzia George Kambofya aka G.Shalo wakiwa location wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kushoot.Picha na Lewis Mbonde
Mmiliki wa blogu hii bwana Lewis Mbonde akiwa location anaangalia wakati Executive Director Samson Kikoti kutoka Next Step Production akiwa anaset kamera tayari kwa kuanza kushoot.Picha na Lewis Mbonde
Napenda kumtambulisha kwenu the man himself  Rash Mo mhusika mkuu wa hii video ameshine mbaya akishow love na executive director wa mpango mzima wa hiki kichupa Picha na Lewis Mbonde

Rash Mo akiwa anashow love na warembo wa video hii wametokelezea sana sio siri warembo wametokelezea sana.
Picha na Lewis Mbonde

 Niki Motel muonekano wake kwa nje.Picha na Lewis Mbonde
Mpango mzima wa kushoot ngoma kali ya Hawana wema ukawa Umeanza hivi pande za Niki Motel.Picha na Lewis Mbonde
 Rash Mo akiwa anashoot na queen model mkuu wa Sifa.Picha na Lewis Mbonde
Rash Mo akiwa na Sifa.Picha na Lewis Mbonde
Executive Director Samson Kikoti na Director mwenzake Florian George aka Fast Gee wakiwa location wanashoot.Picha na Lewis Mbonde
The Next Step Production Executive Director Samson Kikoti na Florian George aka Fast Gee wakiendelea kushoot.Picha na Lewis Mbonde.
Executive Director Samson Kikoti na Director Florian George aka Fast Gee wakiwa makini sana kushoot video kuhakikisha kichupa kinakua kikali.Picha na Lewis Mbonde
Executive Director akiwa anaset mambo kuhakikisha kichupa kinatoka vizuri.Picha na Lewis Mbonde
 Shughuli nzima ikawa inaendelea hivi.Picha na Lewis Mbonde
Director Florian aka Fast Gee akiangalia baada ya kuwapanga washiriki.Picha na Lewis Mbonde
Model mkuu wa kiume hansome boy George Kambofya aka G Shalo akiwa anashow love na queen model cute Sifa.Picha na Lewis Mbonde
 Mmiliki wa mtandao huu bwana Lewis Mbonde kulia akishow love na mhusika mkuu Mwanamuziki Rash Mo.Picha na Lewis Mbonde
 Light manager na crew nzima ya Next Step Production wakiendelea kushoot.Picha na Lewis Mbonde
Rash Mo akishow love pamoja na washikaji zake.Picha na Lewis Mbonde
Director Frolian George aka Fast Gee akijadiliana jambo na Executive Director Samson Kikoti .Picha na Lewis Mbonde
 Executive Director akiendelea kushoot.Picha na Lewis Mbonde
The Next Step Production wakiwa kazini kufanikisha kichupa cha mwanamuziki Rash Mo.Picha na Lewis Mbonde
Rash Mo akiwa na wana wakipata kilaji.Picha na Lewis Mbonde
Mpango Mzima ukahamia Stand kuu ya Iringa.Picha na Lewis Mbonde
Hapa ni maeneo ya MR next step wakiwa wanaendelea na kazi iliyowapelekaPicha na Lewis Mbonde.
Executive Director in action.Picha na Lewis Mbonde
The Next Step Production crew on the movement to High Land Hall Upstairs Picha na Lewis Mbonde
Shughuli ikaendelea ghorofani high land hall.Picha na Lewis Mbonde
Light Manager akiwapa mzuka washiriki wa video.Picha na Lewis Mbonde
Mmiliki wa blogu hii akishow love na Light Manager wa Next Step Production.Picha na Lewis Mbonde
Shughuli ikiendelea.Picha na Lewis Mbonde
Executive Director akiendelea na kazi jamaa kiukukweli walijipanga icheki hii kamera wanayotumia ni ya kisasa sana.Picha na Lewis Mbonde
Rash Mo akiwa anachana mbele ya kamera.Picha na Lewis Mbonde
Siku ikawa imeisha hivi mmiliki wa blogu hii akishow  love na model wa kiume wa video hii George Kambofya aka G Shalo

No comments:

Post a Comment