MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday 24 July 2017

MAREHEMU ARUDI NYUMBANI AKIWA HAI KIZAAZAA NA HOFU VYATANDAA


Bibi wa ‘marehemu’.
NI mshtuko! Hicho ndicho kilichotokea kufuatia tukio la hivi karibuni lililojiri Kinondoni jijini Dar, baada ya wanandugu kuhakiki mwili wa aliyedaiwa kuwa ni ndugu yao ukiwa mochwari na kuthibitisha kuwa ni yeye na baadaye kumzika kwa heshima zote, lakini kwa namna ya kushangaza, siku chache mbele, ‘marehemu’ aliibuka nyumbani na kuzua taharuki.

Lutavi aliyedaiwa kufariki kisha kuzikwa, (wa pili kushoto) akiwa na ndugu zake baada ya kuibukia nyumbani kwao akiwa hai.

“Wakati wa kuaga mwili, tuliamua tusiufunue kwa kuwa alikaa hospitali muda mrefu, hivyo ndugu wengine hawakupata nafasi ya kumuona kisha tukamzika kwenye Makaburi ya Kinondoni.

Wakiwa kwenye kaburi wanalodai walimzika.

“Cha ajabu siku ya Jumanne (wiki iliyopita), Lutavi akabisha hodi, akaingia na kunikumbatia, watu wote tulishtuka, lakini baada ya kumhoji tunaamini ni yeye, tuliyemzika siye.
Bibi wa ‘marehemu’ huyo anasimuli

No comments:

Post a Comment