MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday 28 July 2017

IVAN PERISIC SITAMANI KUONA ANAUZWA MACHESTER UNITED

http://images.thepeoplesperson.com/wp-content/uploads/2017/05/28113746/ivan-perisic-2-min.jpg

Boss wa interLuciano Spalletti  amesema anapinga kwa nguvu kuuzwa kwa Ivan Peresic katika club ya manchester United na hazani kama manchester united wanaweza wakaja na ofa mpya ya tatu ama wakakubali kumnunua ivan perisic kwa kubadilishana na antony matial. Hivyo wanandaa mkataba mzuri kuakikisha wanambakisha Perisic na kumfanya awe star msimu ujao

No comments:

Post a Comment