ni baada ya kudaiwa kwamba kufika mwezi wa pili mwaka unaokuja utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi hasa maeneo makubwa ya wilaya ya mbozi kama LWATI, ZELEZETA, HALUNGU, ITEPULA, MWANJELWA, KUELEKEA KAMSAMBA NA MAENEO MENGINE MBALIMBALI KATIKA WILWYA YA MBOZI. ijapokua upimaji na taratibu za awali zimefanyika lakini wananchi wengi wa wilaya ya mbozi wamekosa imani hivyo kupelekea kutoelewa kama umeme utawaka february mwaka 2015
jambo la kuwa na umeme hasa kwa wilaya ya mbozi limeonekana kama chanzo cha maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani moja ya wilaya amabazo ni kubwa na kuwepo kwa umeme ni faida hata kwa nchi yetu ya tanzania. kutokana na kukosa majibu.
mtandao huu utatembelea ofisi za viongozi wa kata, madiwani pamoja na ngazi za juu katika wilaya ya mbozi ili kukuleteaa taarifa zaidi juu ya ukweli kuhusu kuwaka kwa umeme katika wilaya ya mbozi.
No comments:
Post a Comment