Tukio
hili limetokea hapa mkoani Iringa asubuhi ya leo katika eneo la samora
karibu na
mashine ya kukamua mafuta ya alizeti kichanga kimekutwa kimekufa baada
ya kutupwa.Shuhuda wa tukio hilo ni mwenye nyumba ambaye alikua
anafanya usafi wa mazingira na kukuta kanga ikiwa imevilingisha huyo
mtoto anae kadiliwa kua na miezi 8.Maiti hiyo ya kichanga ikaondoka na
polisi.mpaka sasa muhusika hajapatikana.
No comments:
Post a Comment