Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa
Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia
katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai
Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji
wa Duka hilo Amesema Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa
tunamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta
anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu.
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu.
No comments:
Post a Comment