MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday 5 October 2013

MWANAMUSIC RIHANNA AMEJIKUTA AKITUKANWA BAADA YA KUTOA VIDEO CHAFU YENYE MATUSI

http://sp9.fotolog.com/photo/41/4/54/laura_viri/1260715187988_f.jpg 

Rihanna amejikuta kikaangoni tena wiki hii baada ya mashabiki wake kumshambulia kutokana na video yake mpya ya wimbo ‘Pour It Up’ wakisema ni chafu na ina matusi mno. Mamia walitumia mitandao ya kijamii kumponda mrembo huyo kwamba ‘hana hata haya’ kutoa video chafu kama hiyo. Walihoji kama kweli anaweza kuwa mfano wa kuigwa kwa mamilioni ya mashabiki wake vijana duniani.   Wanaharakati

No comments:

Post a Comment