MABINGWA
wa Ulaya, Bayern Munich wameonyesha soka ya kiwango cha juu na kuifumua
nyumbani Manchester City mabao 3-1 Uwanja wa Etihad.
Yalikuwa
mabao ya wachezaji bora duniani Mfaransa Franck Ribery dakika ya ,
Mjerumani Thomas Muller dakika ya na Mholanzi Arjen Robben dakika ya
yaliyoizamisha City katika mchezo huo wa Kundi D.
Makosa
ya kipa Joe Hart na walinzi wake yaliigharimu City leo kabla ya Alvaro
Negredo kutokea benchi kwenda kufunga bao la kufutia machozi dakika ya -
huku beki wa Bayern Jerome Boateng akitolewa nje kwa kadi nyekundu
baada ya kumchezea rafu Yaya Toure dakika ya.
Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Hart, Richards, Kompany, Nastasic, Clichy, Toure, Fernandinho, Jesus Navas, Aguero, Nasri/Silva dk70 na Dzeko/Negredo dk57.
Bayern Munich: Neuer,
Rafinha, Boateng, Dante, Alaba, Lahm, Robben/Shaqiri dk78,
Schweinsteiger/Kirchhoff dk76, Kroos, Ribery/Gotze dk85 na Muller.
Celebration: Bayern Munich's Thomas Muller (right) celebrates with team-mates after making it 2-0
No match: Frank Ribery (right) runs the ball past City's right-back Micah Richards
Turn on the style: Arjen Robben of Muenchen celebrates his team's third goal
Not enough: Manchester City's Yaya Toure (right) and Bayern Munich's Toni Kroos in action
Late scare: Jerome Boateng was sent off for Bayern Munich for a late tackle on Yaya Toure
Old enemy: Muller gets past England keeper Joe Hart to score
Winning style: Bayern Munich manager Pep Guardiola celebrates his side's third goal
Comeback? Alvaro Negredo strikes home for City to make it 3-1
Flying the flag: Bayern fans hold aloft scarfs as they cheer their side on at the Etihad
Katima
mchezo mwingine, kocha David Moyes wa Manchester United alilazimishwa
sare ya 1-1 Shakhtar Donetsk Uwanja wa Donbass Arena.
Danny Welbeck alitangulia kuifungia United dakika ya 18 kabla ya Taison kuwasawazishai wenyeji dakika ya 76.
Shakhtar
Donetsk: Pyatov, Srna, Kucher, Rakitskiy, Shevchuk, Fernando/EeIlsinho
dk84, Hubschman, Taison/Bernard dk90, Alex Teixeira, Douglas Costa na
Luiz Adriano/Ferreyra dk90).
Manchester United: De
Gea, Rafael Da Silva, Smalling, Vidic, Evra, Valencia, Carrick,
Fellaini/Giggs dk66, Cleverley, Welbeck/Jones dk90 na van Persie.
Leveller: Taison slams home past David De Dea to bring Shakhtar Donetsk on terms
Job Wel done: Man United edged in front in the 18th minute at the Donbass Arena
History: Giggs replaces Marouane Fellaini midway through the second half to make his 145th appearance
Real
Madrid imeifumua mabao 4-0 FC Copenhagen mawili akifunga Angel Di Maria
na mawili Cristiano Ronaldo, ambaye amesherehekea kucheza mechi ya 100
michuano ya Ulaya.
Ronaldo
ametimiza mabao 212 katika mechi 208 alizocheza Madrid – na sasa
mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United amefunga mabao 40
katika mechi 42 za Ligi ya Mabingwa akiwa Real.
Real Madrid: Casillas,
Carvajal, Pepe, Varane, Marcelo, Di Maria, Modric/Isco dk67,
Khedira/Morata dk74, Illarramendi, Benzema/Jese dk81 na Ronaldo.
FC
Copenhagen: Wiland, Jacobsen, Mellberg, Sigurdsson, Bengtsson,
Gislason, Delaney, Claudemir, Toutouh/Bolanos dk63, Braaten/Adi dk67,
Jorgensen/Kristensen dk72.
All white on the night: Cristiano Ronaldo celebrates with his Real Madrid team-mates after opening the scoring
Head boy: Ronaldo completed a fine attacking move to score Real Madrid's first goal at the Bernabeu
Game over: Angel Di Maria completed the scoring as Real Madrid eased to victory over Copenhagen
Bao
la dakika ya mwisho la Umut Bulut limeinusuru Galatasaray kuzama chini
ya kocha wake mpya, Roberto Mancini kwa kupata sare ya 2-2 mjini Turin
mbele ya Juventus.
Didier
Drogba alitangulia kipindi cha kwanza kuifungia timu hiyo ya Uturuki,
lakini Juventus ikasawazisha na kufunga la pili kupitia kwa Arturo Vidal
na Fabio Quagliarella kabla ya Bulut kuiokoa timu yake mwishoni mwa
mchezo.
Juventus: Buffon, Barzagli, Bonucci, Chiellini, Lichtsteiner, Pirlo, Asamoah, Vidal, Pogba, Tevez, Vucinic.
Galatasaray: Muslera, Eboue, Kaya, Chedjou, Riera, Felipe Melo, Inan, Balta, Sneijder, Bruma, Drogba.
In the goals: Didier Drogba celebrates after scoring against Juventus
Eyes on the prize: Juventus striker Carlos Tevez came up against his former City manager Mancini
Going for glory: Juventus midfielder Paul Pogba takes an acrobatic shot
Beating his man: Juventus forward Mirko Vucinic beats Galatasaray midfielder Felipe Melo
Crowded out: Juventus' Mirko Vucinic is challenged by Bruma and Felipe Melo of Galatasaray
No comments:
Post a Comment