BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake.
“Nimechoka kila kona wanatoka vijana na kusema mimi ni baba yao tangu Kanumba alivyofariki dunia.Waleteni mama zenu nilale nao kwanza na kama kuna mwanamke anayehitaji uzao wangu, namkaribisha aje nimpe na watoto atakaowazaa watakuwa maarufu sana,” alijigamba baba Kanumba
hahahaaaaa
ReplyDelete