MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday 23 September 2013

ALIYEPIGA PICHA CHAFU NA KUPOST KWENYE BLOG YAKE AWAJIA JUU WASIOZIELEWA PICHA ZAKE


Kitendo cha Mabloggers wenzake kurusha picha zake za utata  kwenye mitandao ya jamii, Kimemfanya Blogger husika aje juu na kuwaponda wasiozielewa picha hizo na kutetea kuwa sio za uchi na wala haoni uchi  kwenye hizo picha
Angalia baadhi ya post alizorusha kwenye blog yake zilizohusiana na picha hizo hapa chini

No comments:

Post a Comment