Nyaraka hizo za kisheria zinahusiana na
mapambano makali ya kisheria yenye chuki kati ya makundi yanayopingana kwenye
familia kuhusu wapi Mandela atakapozikwa.
Baada ya kumchunguza wiki iliyopita, madaktari waliandika:
"Yuko kwenye hali ya kudumu ya kulala tu na anasaidiwa kupumua na mashine ya kuokoa maisha."
Kitabibu, hii inamaanisha hajitambui na yuko kwenye hali katikati ya kuzimia kwa muda mrefu na kifo.
"Kwa kifupi ameshakufa," alisema Charlene Smith, mwandika wasifu wa Mandele aliyethibitishwa.
Taarifa hizo zimekuja huku mabaki ya watoto watatu wa mzee huyo mwenye miaka 94 yakiwa yamezikwa upya kwenye makaburi yao ya awali kufuatia amri ya mahamaka kuirejesha miili hiyo baada ya mjukuu wake, Mandla kuwa ameihamisha.
mpekuzi huru.

No comments:
Post a Comment