MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday 2 July 2013

MMILIKI WA FACEBOOK AKIWA BARABARANI AKIFURAHIA KUPITISHWA KWA SHERIA YA NDOA ZA JINSIA MOJA

 

Mmiliki wa mtandao wa kijamii Facebook CEO Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake waliozidi 700 katika matembezi ya kusherekea maamuzi ya mahakama kuhusu haki za ndoa ya jinsia moja. Matembezi haya yamefanyika mitaa ya San Francisco Jumapili Asubuh. Kwa mujibu waWall Street Journal asilimia 15 ya wafanyakazi wa facebook.

Sheria hio inayo sherekewa Imeruhusu wanandoa wa jinsia moja kumiliki leseni ya ndoa ndani ya siku 30 baada ya kuoana.


HABARI KWA HISANI YA SAM MISAO BLOG


No comments:

Post a Comment