Msanii
wa hip hop M 2 the P ambae ni rafiki wa Marehemu Albert Mangwair alias
CowBoma jana alishindwa kuongea kitu katika USIKU WA NGWAIR uliofanyika
CITY CENTER(Samaki Samaki).
Sababu ni kwamba M2-THE-P anaumia sana kila inapofikia hali ya kumkumbuka swahiba wake Mangwair,
“Habari,
am so happy kuwaona mkit-show real luv kwa mshikaji(Ngwair) siwezi
kuongea kitu ila na ushukuru Uongozi wa Samaki Samaki kwa kusimamia
event hii pia nawashukuru wadau wote mliohudhuria katika USIKU WA NGWAIR
peace and luv to him”.
Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/07/m-2-p-ashindwa-kuongea-kwenye-usiku-wa.html#ixzz2XoByiRiy
No comments:
Post a Comment