
Kupitia
akauunti yake ya twitter Anaconda amewapa fans wake good news kuhusu ujio wa
ngoma yake na Juma Nature, huku akitaka kujua kama wako tayari kuipokea.

fans wengi
waliipokea habari hiyo kwa shangwe lakini Jide aliwaeleza kuwa sio kwamba kila
wimbo anaorekodi sasa hivi atauachia sasa hivi.
“Tunarekodi tu nyimbo ili ziwepo ila
haimaanishi zote zitatoka kwa wakati mmoja zitapeana muda. Wakati ukipata hisia
lazma uingie Studio.” Alitweet Lady JayDee.

Kwa upande mwingine Mkali huyo
aliweka wazi kile kinachomnyima amani katika maisha yake ‘kimuziki’ kuwa ni kiu
ya kufanya wimbo na malkia wa mipasho Khadija Kopa.

No comments:
Post a Comment