Askali akiwa anachukua maelezo baada ya ajali hiyo kutokea ikizihusisha gali mbili aina ya tax huku gali moja ikiwa ndo chanzo kikubwa. na mara tu baada ya ajali kutokea dereva mmoja kati yao aliamua kukimbilia kituo cha polisi kwa usalama wake kwani raia walitaka kumpiga kwa kusababisha ajali
Hii ndo namaba ya gali miongoni mwa gali hizo zilizogongana eneo la posta Iringa
Hili na gali lingine lililogongana la lingine jioni hii
Hawa ni baadhi ya wakazi walioshuhudia ajali hii
Picha na Samsoni Kikoti
No comments:
Post a Comment